Luxfidei REFLEKSHENI YA KILA SIKU Barnabas anatufundisha kwamba si kila misheni inahitaji kelele; baadhi ya wito umeandaliwa kuhimiza na kujenga watu waliovunjika. Alipata jina "mwana wa faraja" kwa sababu uwepo wake ulikuwa tiba kwa ... 10 Jun 2026
Luxfidei REFLEKSI YA KILA SIKU Yesu haonekani kuja kubomoa, bali kutimiza. Na hapa ndipo shida ya moyo wa mwanadamu inapoanza kufunuliwa: mara nyingi tunafikiri wokovu ni kufutwa kwa mzigo, wakati Yesu anasema ni ukamilisho wa maan... 9 Jun 2026
Luxfidei KUMBUKUMBU YA MT BONIFACE ASKOFU NA SHAHIDI Tafakari Fupi – Kumbukumbu ya Mtakatifu Boniface, Askofu na Shahidi Mtume Paulo anamwambia Timotheo: “Umefuata mafundisho yangu, mwenendo wangu wa maisha, imani yangu, saburi yangu, upendo wangu na ma... Article 7 Jun 2026
Luxfidei Tafakari za Injili ya Kila Siku Mk 12:28-34 Mara nyingi tunamjia Mungu tukiwa na maswali mengi, lakini si mara zote tunatafuta majibu kwa moyo wa kweli. Mwandishi wa Sheria katika Injili ya leo anatufundisha kwamba swali la dhati li... Article 7 Jun 2026